Share

Familia zalumbana Kiplombe kuhusu ulezi wa mtoto wa marehemu

Share this:

Kulikuwa na kizaa zaa katika eneo la makaburi ya Kiplombe mjini Eldoret, baada ya majirani na marafiki kuzuia maiti moja kuzikwa, wakitaka familia ya marehemu kukubali kulea mtoto anayedaiwa kuwa mwanawe marehemu.

Leave a Comment