Share

Familia za walinzi 6 waliouawa mazishini kijijini Masebula, Busia zalilia haki

Share this:

Familia za watu 6 waliokuwa walinzi wa kiibinafsi, waliouawa kijijini Masebula kaunti ya Busia, Ijumaa, wanawataka polisi kuwakamata watu wanne wa familia ya mfanyibiashara aliyeuawa, kwa msingi walihusika na mauaji ya sita hao.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

#NTVToday #NTV #NTVNews

Leave a Comment