Share

Familia yaandaa makumbusho ya Masinde Muliro

Share this:

Hafla ya ukumbusho wa kwanza baada ya Hayati Pius Masinde Muliro kufariki miaka 27 iliyopita inaandaliwa nyumbani kwake Sibanga eneo bunge la Cherengany Kaunti ya Trans Nzoia. Mazungumzo ya kisiasa na mustakabali wa jamii ya wabukhusu inatarajiwa kupewa kipaumbele. #SemaNaCitizen

Leave a Comment