Share

Familia mbili zatofautiana kuhusu kifo cha mwenzao

Share this:

Familia moja katika kaunti ya kiambu inaelekea mahakamani kushtaki usimamizi wa chumba cha kuhifadhia maiti cha chuo kikuu cha Kenyatta, pamoja na idara ya upelelezi katika kaunti hiyo, kwa sababu ya kutoweka kwa viungo muhimu vya mwili wa mpendwa wao aliefariki mwezi uliopita. Na kama anavyoarifu hassan mugambi mazishi ya marehemu Peter Macharia yamesitishwa hadi pale kiini cha kifo chake kitakapotambuliwa.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment