Share

Familia mbali mbali zanufaika kwa msaada wa chakula wakati wa sherehe za Eid-Ul Adha

Share this:

Familia zilizoathirika na mafuriko na zile za wasiojiweza katika kaunti za Tana River na Wajir walinufaika na chakula wakati wa maadhimisho ya sherehe ya Kiislamu ya Eid ul Azah. Familia hizo zilipokea bidhaa za chakula huku zikitoa wito kwa wakenya waliobahatika katika jamii kuwasaidia wasiojiweza wakati huu wa janga la covid-19.

Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news
Check our website: https://www.kbc.co.ke/

#KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive

Leave a Comment