Share

Familia 100 zapinga kufurushwa Satima, Kieni Kaunti ya Nyeri

Share this:

Familia zaidi ya mia moja katika eneo la Satima eneo Bunge la Kieni Kaunti ya Nyeri wanadai kuwa wanafurushwa kutoka shamba wanalomiliki kwa madai ya kuwa wao ni maskwota.

Leave a Comment