Share

Esther Arunga aachiliwa

Share this:

Esther Arunga ameachiliwa na mahakama ya australia baada ya kushtakiwa kwa kuhusika na kifo cha mwanawe sinclair timberlake mwaka wa 2014, mwezi februari.
Jaji mkuu Martin Burns alimhukumu kifungo cha miezi kumi ambacho arunga atatumikia akiwa nje ya jela chini ya usimamizi wa afisa wa umma, akilazimika kufuata matakwa ya hukumu yake.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment