Share

Emmanuel Omare anaishi na ulemavu na ni malengo hodari

Share this:

Emmanuel Omare licha ya hali yake ya kupooza kwa ubongo hajakata tama maishaini. Anaandika diwani za mashairi ili kuwaliwaza wanaoonekana kukata tamaa maishani.

Leave a Comment