Share

Edward Lowasa amewashauri wakenya kuzingatia amani wakati wa uchaguzi

Share this:

Aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania na pia kiongozi wa upinzani nchini humo Edward Lowassa ametoa wito kwa taifa la Kenya kuzingatia amani na kujiepusha na visa vitakavyozua machafuko kutokana na uchaguzi.
Akizungumuza na mwanahabari wetu Gordon Odhiambo Lowassa aidha ameonya kuwa machafuko nchini Kenya ni janga sio tu kwa taifa hili pekee bali ni janga katika mataifa ya Afrika ya Mashariki kwa jumla.

Leave a Comment