Share

DP Ruto aendeleza pingamizi dhidi ya ripoti ya BBI

Share this:

#NTVJioni #NTVNews #NTVKenya

Naibu wa rais William Ruto na wabunge wanaomuunga mkono wameendeleza pingamizi lao dhidi ya ripoti ya BBI huku wakisisitiza malengo yake ni kuwatafutia viongozi wa kisiasa nyadhifa za uongozi wala si kushughulikia mslahi ya wakenya

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Leave a Comment