Share

Dhana yasabisha wanawake majeraha

Share this:

Warsha ya mafunzo kuhusu amani na utatuzi wa mizozo ilivurugwa baada ya vijana wenye hasira kuvamia hoteli moja huko Kisumu na kuwakabili waliohudhuria kwa kushukiwa kununua vitambulisho vya kitaifa kutoka kwa wakaazi…Polisi waliingilia kati kuwaokoa wanawake ambao walikuwa wakihudhuria mkutano huo wa mtandao wa kidini wa wanawake wa Nyanza ambao uliandaliwa na baraza la dini tofauti nchini. Ouko okusah anaarifu zaidi.

Leave a Comment