Share

Dawa ya kuua virusi vya Corona yanyunyuziwa Kericho mjini

Share this:

Zoezi la kunyunyiza dawa za kuangamiza virusi vya corona linaendelea katika kaunti ya Kericho huku wasiwasi wa kuenea kwa Covid-19 ukiwakera wananchi. Mwanahabri wetu Martin Kosgey anaarifu zaidi kutoka Kericho.

Leave a Comment