Share

Daktari bandia: Wanawake zaidi waliodhulumiwa wajitokeza

Share this:

Mary Jane ambaye hilo sio jina lake halisi ni mmoja kati ya wengi waliodhulumiwa na daktari bandia James Mugo Ndichu. Siku moja baada ya NTV Upekuzi kumuangazia daktari huyo bandia, Mary amezungumza na mwanahabari wetu Leila Mohammed na kumueleza yaliyompata katika kliniki yake miaka minne iliyopita na ni kwa nini anahisi kwamba ni sharti Mugo akamatwe na kufungwa kwa maovu yake.

Leave a Comment