Share

Corona: Unaweza pona hakika

Share this:

Mgonjwa wa kwanza nchini aliyeugua homa ya Corona amepona na sasa kwa mara ya kwanza amenana na taifa, katika mazungumzo na rais Uhuru Kenyatta aliyekuwa kwenye ikulu ya Nairobi kupitia mtandao. Brenda Cherotich pamoja na Brian Orinda wakiwa sasa ni wagonjwa 2 nchini kupona kutokana na Corona, wameelezea safari yao kuugua ugonjwa huo ambao kufikia sasa umefikia watu 873,008 ulimwenguni huku 43,275 wakiaga.

Leave a Comment