Share

Chuo kikuu cha Riara chaomba serikali isaidie walioko katika vyuo vya kibinafsi

Share this:

Mkuu wa chuo kikuu cha Riara amelalamika kuwa serikali haivijali vyuo vikuu vya kibinafsi . Akizungumza katika mahafali ya tatu ya chuo kikuu cha Riara ambapo wanafunzi 263 walifuzu, wilfred kiboro alisema kuwa serikali inafaa kuibuka na mpango maalum wa kufungua hazina maalum ya kutoa mikopo ya elimu kwa wanafunzi katika vyuo vya kibinafsi sawa na ule uliopo wa vyuo vya umma.

Leave a Comment