Share

Chumvi yakausha mimea mashambani Kilifi

Share this:

Kwa kawaida hapa ulimwenguni kila mwanadamu anaamini kuwa mgeni ni Baraka anapowasili nyumbani ama mahali popote pale.
Lakini kwa wakazi wa Garithe Bi kule Magarini kaunti ya Kilifi mgeni kwao ni sawia na zimwi lila watu baada ya masaibu yaliyowasibu pindi tu wawekezaji wa viwanda vya chumvi walipowasili eneo hilo. Zomolo Wanje na taarifa kamili.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment