Share

Chiloba amewasilisha kesi kupinga Chebukati kumpa likizo ya lazima

Share this:

Afisa mkuu wa tume ya IEBC Ezra Chiloba ameelekea mahakamani kupinga hatua ya mwenyekiti Wafula Chebukati kumpa likizo ya lazima ya miezi mitatu.
Kupitia kwa wakili wake Andrew Wandabwa, Chiloba anataka mahakama kubatili uamuzi huo kwa kigezo umeikiuka sheria.
Haya yanajiri huku Chebukati akisafiri nje ya nchi.

Leave a Comment