Share

Chebukati ataka sheria ibadilishwe makamishna wapya wateuliwe

Share this:

Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na kuratibu mipaka, IEBC Wafula Chebukati ameelezea kuwa itakuwa vigumu kwa tume hiyo kufanikisha zoezi la uratibu wa mipaka kama hitaji la kisheria iwapo makamishna wapya hawatateuliwa kujaza nafasi za wale waliojiuzulu.
Kwa sasa kisheria, IEBC haiwezi afikia maamuzi muhimu yanayofaa kufanyika kupitia mikutano yake ambayo inahitaji makamishna wasiopungua watano kwa wastani ili kupasisha hoja kwenye mkutano.

Leave a Comment