Share

Chanda chema

Share this:

Juhudi za mwanaume aliyekarabati barabara akiwa peke yake eneo la Murarandia huko Kiharu kaunti ya Murang’a zimetambuliwa na Benki ya ABC na kuamua kumpa tuzo. Nicholas Muchemi mwenye umri wa mika 45, aliamua kuwapunguzia wakazi wa kijiji cha Kaganda safari ya kilomita 4 kwa kukarabati barabara ya kilomita moja ambayo haingepitika kwa magari akitumia jembe, Collins Ngaira anataarifa hiyo kwa kina.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment