Share

BWAWA LA MASINGA LINATISHA!: Maji yameja pomoni

Share this:

Huku serikali ikitoa tahadhari hapo jana kwa watu wanaoishi maeneo ya chini ya mabwawa kadhaa humu nchini, kuhusiana na kuwepo kwa mafuriko, kwani tayari yako karibu kufurika.
Hii leo mwanahabari wetu Dan Kaburu amezuru  bwawa la Masinga ambalo linatarajiwa kufurika wakati wowote na kama anavyotuarifu ni mkasa unaobisha.

Leave a Comment