Share

Bustani ya Mama Ngina wafunguliwa rasmi Mombasa

Share this:

Bustani ya Mama Ngina iliyokarabatiwa imezinduliwa leo na Rais Uhuru Kenyatta. Eneo hilo ambalo lilianza kukarabatiwa mapema mwaka huu sasa litafahamika kama Mama Ngina Water Front. Kumeshuhudiwa shamrashamra wakati wa uzinduzi huo na mwanahabari wetu Francis Mtalaki anahudhuria.

Leave a Comment