Share

Bunge lachapisha upya mswada wa mgao wa pesa za Kaunti

Share this:

Bunge la kitaifa limechapisha upya mswada wa ugavi wa raslimali na kupendekeza serikali za kaunti zitengewe shilingi bilioni 316.5 katika bajeti ya mwaka 2019/2020. hata hivyo maseneta wamepinga pendekezo hilo na kusisitiza sharti serikali za kaunti zitengewe angalau bilioni 335,

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment