Share

Bunge la seneti laelekea mahakamani

Share this:

Bunge la seneti sasa linataka hazina ya CDF itupiliwe mbali wakidai ni kinyume na katiba. Maseneta ambao leo walifika mahakamani kulishitaki bunge la kitaifa kwa kupitisha miswada 24 bila kuhusisha seneti aidha imetaka korti kusitisha mjadala wa miswada katika bunge la kitaifa hadi pale swala hili litakapoamuliwa

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment