Share

Bunge kurejelea vikao : Hotuba ya rais Aprili 4 kujadiliwa

Share this:

Misukosuko inayoshuhudiwa ndani ya chama cha Jubilee huenda ukawa
mojawapo ya viunzi ambavyo vitaibua mihemko miongoni mwa wabunge wakati bunge litarejelea vikao kesho.

Bali na hilo kuna miswada kadhaa inayofaa kupasishwa kwa haraka ikiwa
ni pamoja na bunge kujadili hotuba ya rais ya tarehe nne mwezi huu wa
Aprili wakati wabunge wanaporejelea vikao vyao kesho baada ya likizo
fupi ya Pasaka.

Anders Ihachi anatathmini jinsi mkondo wa mambo huenda ukaegemea.

Leave a Comment