Share

Brigid Kosgei avunja rekodi ya dunia baada ya kushinda mbio za Chicago Marathon

Share this:

Mwanariadha Mkenya Brigid Kosgei mwenye umri wa miaka 25 ameweka rekodi ipya katika mbio za marathon upande wa wanawake.
Kosgei ameivunja rekodi ya mwanariadha muingereza Paula Radcliff iliyosimama kwa miaka 16 kwa kutumia mda wa saa 2 dakika 14 sekunde 4.
Ufanisi huu ukijiri baada ya Eliud Kipchoge kuivunja rekodi ya dunia ya saa mbili.

Leave a Comment