Share

Bilionea Humphrey Kariuki bado hajakamatwa

Share this:

Mfanyibiashara mashuhuri Humphrey Kariuki anayetafutwa na maafisa wa usalama katika kesi ya kukwepa ushuru amejiondoa kama mwenyekiti wa kampuni yake ya kimataifa Janus International. Taarifa kutoka kwa kampuni hiyo imepuuza madai ya kesi hiyo ya wizi wa shilingi bilioni 41 inayomkabili kariuki. Hassan Mugambi anaarifu kuhusu taarifa hii inayojiri huku maafisa wa jinai wakiwa bado wanamtafuta mfanyibiashara huyo

Leave a Comment