Share

Benson Wachira adaiwa kumuuwa Onesmus Manyara katika kaunti ya Nakuru

Share this:

Familia moja katika eneo la Kabsta huko Molo kaunti ya Nakuru inalilia haki baada ya mmoja wao kufariki muda mfupi baada ya kuakamatwa kwa madai ya kuiba betri ya gari la mwajiri wake. Inadaiwa kuwa mwajiri wake alimpiga vibaya kabla ya kumpeleka polisi.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment