Share

Bendera kupeperushwa nusu mlingoti Kenya kuomboleza Robert Mugabe

Share this:

Benderera katika maeneo ya umma na kambi za jeshi zitapeperushwa nusu mlingoti kwa siku tatu mfululizo kama ishara ya kumuomboleza rais wa zamani wa zimbabwe marehemu robert mugabe. Hii ni amri iliyotolewa na rais uhuru kenyatta mapema hii leo akiwa Mombasa.
#NipasheWikendi

Leave a Comment