Share

Bei ya mchele yatarajiwa kushuka kwanzia Disemba

Share this:

Kabla hujafika kaunti ya Tharaka Nithi, unapitia kaunti nne: Kiambu, Murang’a, Kirinyaga kisha unafika Embu. Jane Ngoiri na timu ya NTV walitua kwa muda chache katika kaunti ya Kirinyaga, mji wa Mwea ambao inafahamika sana na ukuzaji wa mchele.

Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke.
Follow @ntvkenya on Twitter.
Like our page on Facebook: NTV Kenya.
Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya
Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush

Leave a Comment