Share

Bei ya mahindi : Kamati ya bunge yampuuza waziri

Share this:

MAIZE IMPORTATION/FARMER – KIMANI
Kamati ya kilimo bungeni hii leo imepuuzilia mbali mikakati ya serikali ya kutaka kununua mahindi kutoka nje ya nchi.
Haya yanajiri baada ya waziri wa kilimo mwangi Kiunjuri kusema serikali huenda ikalazimika kuchukua hatua hiyo ili kuhakikisha bei ya unga haipandi.

Leave a Comment