Share

Beatrice Elachi arejea katika bunge la Kaunti ya Nairobi kwa kishindo

Share this:

Kizaazaa kimeshuhudiwa leo katika bunge la kaunti ya Nairobi baada ya spika anayekumbwa na utata Beatrice Elachi kurejea baada ya kutimuliwa mwaka mmoja uliopita. Zogo lilishuhudiwa kwenye ukumbi huo uliogeuka kuwa balaa, huku maafisa wa usalama wakishika doria.

Leave a Comment