Share

Baraza la magavana kuishtaki serikali kuu

Share this:

Baraza la magavana nchini linaelekea mahakama ya upeo, kuishtaki serikali ya kitaifa na bunge la kitaifa kwa kukosa kutenga mgao wa ugatuzi katika bajeti ya 2019/2020. Magavana hao wanasema rais uhuru kenyatta alikiuka katiba alipotia sahihi mswada wa kuiruhusu serikali kutumia fedha katika mwaka mpya wa kifedha, hata kabla ya bunge la kitaifa na seneti kuafikiana kuhusu kiasi cha pesa kinachofaa kutengewa serikali za kaunti.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment