Share

Baraza jipya la Gavana Sonko

Share this:

Gavana wa Nairobi Mike Sonko amezindua baraza jipya la mawaziri , lakini akakosa kwa mara nyingine  kutaja jina la naibu  gavana.
Sonko amesema kuwa muungano wa NASA ulitoa pendekezo  la  kuteuliwa kwa Rahab Wangui Ndambuki, pendekezo ambalo gavana amelipoeka leo, na hivyo  basi itachukua muda kiasi kuweza kufanya uamuzi wa  naibu gavana mpya, lakini maswali yanazidi majibu kuhusu hilo .

Leave a Comment