Share

Bamburi: 3 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa ‘Wakali Kwanza’ wakamatwa

Share this:

Washukiwa watatu wa genge la Wakali Kwanza katika kaunti ya Mombasa wamekamatwa na maafisa wa polisi kufuatia shambulio lililowaacha watu kumi na watatu na majeraha ya panga.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

#NTVToday #NTV #NTVNews

Leave a Comment