Share

Baba katili Mombasa amewaua wanawe wawili kwa kuwadunga kisu

Share this:

Baba mmoja amewaua kikatili wanawe wawili wa kike huko Mombasa.
James Maina ambaye polisi wanasema alikuwa mlevi, aliwaita wana hao ili wale maembe lakini alichukua kisu na kuwaua.

Leave a Comment