Share

Baadhi ya wazazi walalamikia athari za Polio kwa watoto

Share this:

Ni siku chache tangu awamu ya 5 ya utoaji chanjo ya polio nchini mwaka huu ikamilike. Huku baadhi ya Wakenya wakiona kuwa utoaji wa chanjo umekithiri , serikali inasema kuwa hatua hiyo ni muhimu kuhakikisha kuwa chanjo hiyo ya polio inapewa mara nyingi kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano kuhakikisha wanapata chanjo. Cha kushangaza ni kuwa baadhi ya wazazi wameapa kuzuia watoto wao kupata chanjo hiyo kutokana na athari wanazoziona kwa wana wao baada ya kupokea chanjo.

Leave a Comment