Share

Baadhi ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Moi hawajaorodheshwa kwenye mahafali

Share this:

Mzozo unanukia baina ya wanafunzi wa usimamizi wa chuo kikuu cha Moi mjini Eldoret. Hii ni kutokana na kuwa chuo hicho kinakaribia kuandaa sherehe za mahafala ilhali majina ya baadhi ya wanafunzi wanaostahili kufuzu hayajasajiliwa. #SemaNaCitizen

Leave a Comment