Share

Baadhi ya waandamanaji watumia fursa kupora mali na kuharibu magari,Nairobi

Share this:

Huenda sasa unawaza na kuwazua, kuhusiana na ni lini, maandano haya yatakoma, hasaa iwapo kwa njia moja au nyingine wewe ni muathiriwa.

Kufikia sasa mali ya mamilioni ya pesa imeharibiwa, ikiwa ni pamoja na uporaji kama ilivyoshuhudiwa leo hapa jijini Nairobi. Hapa jijini Nairobi, huenda wengi watalazimika, kufunga maduka, au kutotumia magari ya kibinafsi kwani mwengi yamevunjwa vioo.

Leave a Comment