Share

Baadhi ya matatu zimeanza kujiondoa kwenye steji Nairobi

Share this:

Baadhi ya wahudumu wa matatu jijini Nairobi wameanza kutekeleza mapendekezo ya kupunguza idadi ya magari yanayoingia kwenye katikati ya jiji kwa minajili ya kupunguza misongamano ya magari jijini.
Hatua hii inajiri baada ya mahakama kuu kubatilisha uamuzi wa serikali ya kaunti kuyazuia magari ya uchukuzi wa umma kuingia jijini
Hata hivyo, rais Uhuru Kenyatta amekiri kumuamuru  gavana wa Nairobi Mike Sonko hapo jana alfajiri kufutilia mbali utekelezwaji wa agizo hilo mara moja.

Leave a Comment