Share

Baada ya moto Gikomba : Wafanyabiashara wenye mikopo wahofia kupokonywa mali yao

Share this:

Wafanyabiashara katika soko la Gikomba wanaendelea kukadiria hasara ya mamilioni ya pesa kufuatia mkasa wa moto wa hapo jana huku wakielezea hofu yao kwamba huenda wakaanza kuhangaishwa na mabenki na mashirika mengine ya mikopo.
Huku hayo yakijiri  kamishna wa kaunti ndogo ya Kamukunji Moses Lilan aidha amewakikishia wafanyabiashara katika soko hilo kuwa serikali inalenga kuwatambua walioathirika kwa minajili ya kuwapa fidia.

Leave a Comment