Share

Askofu Korir Amezikwa Kanisani Kulingana Na Tamaduni

Share this:

Askofu wa Dayosisi ya Eldoret Cornelius Korir alizikwa siku ya Jumamosi ndani ya Kanisa Katoliki la Sacred Heart mjini Eldoret. Ni aina ya kipekee ya mazishi ambayo yamewaacha wengi na maswali kuhusu ni vipi askofu azikwe kanisani.

Leave a Comment