Share

ANA KWA ANA: Ruto na Raila pamoja mkutanoni Kisumu

Share this:

Kwa mara ya kwanza tangu cheche za kisiasa za mwaka wa 2022 kuibuka ,naibu wa rais William Ruto na kinara wa NASA Raila Odinga hii leo wamekuwa katika jukwaa moja katika  ngome kuu ya Raila Odinga kaunty ya Kisumu.
Katika hafla ya kumtawaza askofu Mkuu Philip Anyolo wawili hao wameonekena kuchukua  mkondo wa kutuliza joto la kisiasa humu huku wakiwataka  viongozi kupambana na siasa za maendeleo zinaloleta umoja wa taifa.

Leave a Comment