Share

Aliyekuwa waziri wa michezo Rashid Echesa kusalia seli hadi Jumatatu

Share this:

Aliyekuwa waziri wa michezo Rashid Echesa atalala ndani hadi jumatatu baada ya mahakama kuamuru kuzuiliwa hadi uchunguzi wa utapeli unaomkabili ukamilike. Akitoa uamuzi, hakimu mkuu lucas onyina ameamuru maafisa wa polisi kufanya msako nyumbani kwa echesa ili kutafuta ushahidi zaidi.

Leave a Comment