Share

Aliyekuwa mwenyekiti wa tume huru ya IEBC James Oswago ahojiwa na Bunge

Share this:

Tunafuangua na taarifa ya kujiuzulu kwa makamishina watatu katika tume ya uchaguzi na mipaka, IEBC. makamishina Consolata Nkatha Bucha Maina, Margaret Wanjala Mwachanya na Paul Kibiwott Kurgat wametangaza kujiuzulu kwao mapema asubuhi ya leo, wakitaja uhusiano mbaya wa mazingira ya kazi ndani ya tume hiyo.

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/user/KTNClassics

Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Leave a Comment