Share

Aliyekuwa Meneja Mkurugenzi wa kampuni ya kusambaza mafuta ya petroli nchini Joe Sang akamatwa

Share this:

Aliyekuwa Meneja Mkurugenzi wa kampuni ya kusambaza mafuta ya petroli nchini Joe Sang pamoja na aliyekuwa afisa mkuu mtendaji wa bima ya afya ya kitaifa Simeon Kirgotty ni miongoni mwa maafisa wakuu Serikalini waliotiwa mbaroni leo kwa tuhuma za ufisadi. Maafisa hao wanahojiwa katika makao makuu ya Idara ya Upelelezi DCI.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment