Share

Aliyekua seneta Gwendo afungwa miaka 2 kwa wizi na ulaghai

Share this:

Daktari  bandia Mugo wa Wairimu atasalia  chini ya ulinzi wa polisi baada ya mahakama kukataa kumuachilia kwa dhamana huku kesi dhidi yake ikiendelea.
Hakimu mkuu Martha Mutuku  alitupilia  mbali  ombi lake mshtakiwa  kwa kigezo kwamba huenda kuachiliwa kwake kukaathiri  mwelekeo wa kesi hiyo.
Haya yanajiri huku aliyekuwa seneta mteule Joy Gwendo akihukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani kwa tuhuma za  ulaghai na kutumia mamlaka vibaya.

Leave a Comment