Share

| AKILI MALI | Vijana watengeza kifaa cha kunasa wadudu

Share this:

Wanafunzi wawili wa chuo cha kiufundi cha Rift Valley mjini Eldoret wamebuni njia ya kupambana na wadudu wanaovamia matunda yanapohifadhiwa nyumbani kwa kutengeneza mchanganyiko maalum wa kuwatega na kuwakamata wadudu hao. Mwanahabari wetu Gatete Njoroge anawaangazia kwenye makala ya Akili Mali.

Leave a Comment