Share

Ajuza wa miaka 83 anaswa na bangi,Nyeri

Share this:

Mwanamke mkongwe mwenye umri wa miaka 83 katika kaunti ya Nyeri amewashangaza wengi baada ya kunaswa na maafisa wa polisi na bangi yenye gramu 600.
Akifikishwa kwenye mahakama ya Nyeri,nyanya huyu , Lydia Wanjiku alijitetea huku mahakama ikisema kuwa ataendelea kukaa korokoroni hadi siku ya jumatatu tarehe 15  ambapo kesi yake itaskizwa. Inadaiwa kuwa nyanya huyu amekuwa akiifanya biashara ya kuuza bangi pamoja na mwanawe ambaye bado anasakwa na maafisa wa polisi.

Leave a Comment