Share

Ajira kwa vijana katika Kaunti ya Turkana

Share this:

Kwa minajili ya kuhakikisha vijana wanachangamkia kilimo biashara kwa lengo la kuepusha baa la njaa ambalo hutokea mara kwa mara Turkana, vikundi 8 kutoka wadi ya Katilu vimepewa ufadhili wa shilingi milioni kumi na moja ili kufanikisha miradi hiyo.

Leave a Comment