Share

Afueni kwa Mwende Mwinzi

Share this:

Mwende Mwinzi aliyeteuliwa kwa wadhifa wa ubalozi wa Kenya nchini Korea Kusini amepata afueni angaa kwa muda baada ya mahakama kuu kusema kwamba hafai kulazimishwa kuasi uraia wake wa marekani alikozaliwa kama ilivyoagiza bunge.

Leave a Comment